
VNS Celsius – Eau de Parfum
Perfume ya kifahari ya VNS Celsius kutoka Premium Collection ya Valji Nathwani & Sons — "King of Fragrance" tangu mwaka 1935. Ina harufu nzuri na imara inayodumu kwa muda mrefu, ikikuachia mvuto wa kujiamini (confidence) na hadhi. Eau de Parfum ya Natural Spray ya 60ml (2.02 FL OZ), inakuja kwenye chupa ya kipekee ya rangi ya bluu na kibox cha kifahari.Bora kwa matumizi ya kila siku, kazini au sherehe — pia ni zawadi nzuri kwa mpendwa wako. Onyesha kujiamini kwako!
Min Order: 1 Units
50 Units available
Tola Protect Enabled
100% Payment Protection Guaranteed. Shop with full security.
Logistics
Door-to-Door Delivery
Return Policy
7-Day Verification
Verified Merchant
XXXXXX XXXXXX
Seller details are hidden to prevent off-platform deals and ensure secure trade. Identity will be revealed after order placement.
Product details
Client Testimony
No public testimonials yet for this inventory node.
